Muda huu kupitia Redio Clouds Redio Clouds RPC wa Arusha Andengenye anatangaza kuwa Mkutano uliopangwa kufanywa na CDM Arusha si halali maana walitoa taarifa jana saa 4 asubuhi, na yanatakiwa yapite masaa 48 baada ya taarifa , ndipo mkutano ufanyike..
pIA ANASEMA wamepata taarifa za kiintelijensia zinazoonyesha kuwa mkutano huo utasababisha uhalifu na uvunjifu wa amani...
Jamani, ni intelijensia gani hii inayoifuatilia CDM?
mBONA INTELIJENSIA ZA Ufisadi zina 'bounce lakini za wanaCDM zinafanikiwa?
Andengenye amekuja kwa kazi maalum Ars, na wala si kuwa RPC wa kawaida..
Can you imagine wamekaa kimya wakati wa zile fujo zakupigwa Lema juzi leo ndo wanaibuka baada ya kuona maandalizi ya wanaArusha yangekuwa tishio...Very unfair and it smacks of bad faith and lack of impartiality on the part of the law enforcement agencies that are funded by tax payers irrespective of their ideological differences. Police reforms are important now more than ever before.
inelijensia my ass.....huyo ande whatever hakuona intelijensia wakati lema anachezea kichapo?
Mimi naamini hata intelijensia ya Mengi Regnard kuliko ya Polisi
True!Time will tell!
Hilo neno ulilotumia bado halimtoshi, hebu jamani mwenye neno lenye hadhi ya huyu kiumbe atupatie tulitumie hilo....huyu sio RPC bali ni matapiiishiii[/QUOTE
]
Ni robort la ccm
Werevu mwingi ulimshinda Fisi...Hizi kazi zipo na tutaziacha, na wengine watakuja wazifanye!...namsikitikia!Ndo maana wananchi wanachukua hatua za kuchoma vituo vya polisi, maana hawa jamaa kazi yao ni kulinda wahalifu. CDM kupigwa siyo uvunjifu wa amani na persoanl destuction. Ila ccm kuumbuliwa kwa maovu yake ni uvunjifu wa amani. kwa andengenye time will tell, kama siyo sasa, some time you will tell, na hautaenda the hegue kwa ocampo, utakuwa keko kula maharage kama liyumba kwa kutumiwa na kugeuzwa kuwa robort. jamani nchi inakera hii.
Kama sheria ya masaa 48 haijatimia na ni sheria halali mlitakaje? Pia kama kuna potential conditions za uvunjifu wa amani au any sort of interruptions, hiyo nayo ni sababu genuine. At some point whether we like or not lazima tuilinde amani kwanza ikiwa kuna uwezekano huo.
Nakubaliana na wewe Mkuu, sheria tumeziweka wenyewe ili zitulinde/zitusaidie..................huko nyuma niliuliza hivi Meya akishachaguliwa hawezi kupingwa mahakamani kuwa alichaguliwa visivyo?
Nimbaya sana unapopambana na mtu ambaye amefuata sheria..............ni lazima tuwe waangalifu na move yeyote ya kisiasa isije ikatuaminisha yasiyo...............The whole and true story is yet to be revealed.............kuna version tofauti ya stories kwa yaliyotokea huko Arusha..............
Kama Mh Mbunge alifuata sheria...........Andengenye hayuko juu ya sheria.........sheria itamfuata.
NB: katika hali yeyote ya vurugu lolote laweza kutokea hata Mh Mbunge kupigwa..............na sheria ikasema vijana walikuwa kazini.....sijui hapo tumlaumu nani............
........Viongozi tuna wajibu wa kuyaona haya na kuwatuliza na kuwaelekeza tunaowaongoza................Nilitegemea Mh Lema anajua kuwa hata kama CCM wamechakachua uchaguzi na kwamba ni uchaguzi batili.......kuna njia sahihi za kulishughulikia hilo i.e. kwenda mahakamani.............na huko ndiko tutawaibisha Majambazi CCM na mbinu zao chafu............lakini hizi vurugu ni kama tunawapa CCM upper hand...........na polisi hawana jinsi bali ni kuwajibika kwa mujibu wa sheria...............
Lets fight a good fight guys!