Andika chochote, nikubishie au ubishiwe na kupingwa

kwahy mapenzi yanafanywa na ulimi.?
'' utamu sweet''. hauna mahusiani na mapenzi '' love''.
Mambo ya '' sweetness'' yanakosewa kuchanganywa na '' mapenzi''.
Mapenzi ni sekta nyingine, na utamu ambao unadeal na chakula ni sekta nyingine.

ukimsikia mtu anamuita mpenzi Sweet, jua anamkosea adabu mpenzi wake
 
Tuone Cambridge university na Oxford nani atachukua
Boris Johnson ataiweza sana hii kazi ingawa ana maneno
Tusubiri tuone
Yetu macho, wazungu huwa hawaendeshwi kwa hisia mara nyingi. Wanaweza kuleta mtu mwingine kabisa, ila popular opinion huyo Borris anapigiwa chapuo.
 
Rasi simba atakwambia 👇

what is your name = wewe ni kitu gani?
Who is your name= wewe ni nani!
umedanganya sentensi ya kwanza. Hujatafsiri neno Name. Umekuja ma maneno yako ya mfukoni '' kitu gani''.
 
Yetu macho, wazungu huwa hawaendeshwi kwa hisia mara nyingi. Wanaweza kuleta mtu mwingine kabisa, ila popular opinion huyo Borris anapigiwa chapuo.
Kweli kabisa mkuu na May kafeli tangu zamani
 
Sijadanganya mkuu acha ubishi ila nimefurahi umepata mwanga
mwanga ni ''intagible'' nawezaje kuupata. unapata kitu kinachogusika.

mkuu '' name'' sio kitu gani.
nabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…