matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #81
Nabisha mkuu.Nani atakuwa Waziri Mkuu wa Uingereza
Mimi nasema Boris Johnson bisha sasa
PM atakuwa Dominic Raab.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabisha mkuu.Nani atakuwa Waziri Mkuu wa Uingereza
Mimi nasema Boris Johnson bisha sasa
" Who is Your name?'' hii nabisha labda uje na ushahidi kutoka kwa Ras Simba au British Council.Apa hujachemka mzee baba...who is your name?
kwahy mapenzi yanafanywa na ulimi.?Uongo.
Utamu unapimwa na ulimi (Sweet grands).
punyeto ni tamu ingekuwa inaliwa.
prof Matunduizi
Tuone Cambridge university na Oxford nani atachukuaNabisha mkuu.
PM atakuwa Dominic Raab.
'' utamu sweet''. hauna mahusiani na mapenzi '' love''.kwahy mapenzi yanafanywa na ulimi.?
" Who is Your name?'' hii nabisha labda uje na ushahidi kutoka kwa Ras Simba au British Council.
Yetu macho, wazungu huwa hawaendeshwi kwa hisia mara nyingi. Wanaweza kuleta mtu mwingine kabisa, ila popular opinion huyo Borris anapigiwa chapuo.Tuone Cambridge university na Oxford nani atachukua
Boris Johnson ataiweza sana hii kazi ingawa ana maneno
Tusubiri tuone
umedanganya sentensi ya kwanza. Hujatafsiri neno Name. Umekuja ma maneno yako ya mfukoni '' kitu gani''.Rasi simba atakwambia 👇
what is your name = wewe ni kitu gani?
Who is your name= wewe ni nani!
Kweli kabisa mkuu na May kafeli tangu zamaniYetu macho, wazungu huwa hawaendeshwi kwa hisia mara nyingi. Wanaweza kuleta mtu mwingine kabisa, ila popular opinion huyo Borris anapigiwa chapuo.
umedanganya sentensi ya kwanza. Hujatafsiri neno Name. Umekuja ma maneno yako ya mfukoni '' kitu gani''.
Haaaa... Nipeni kombe langu
hahahaHaaaa... Nipeni kombe langu
mwanga ni ''intagible'' nawezaje kuupata. unapata kitu kinachogusika.Sijadanganya mkuu acha ubishi ila nimefurahi umepata mwanga
nataka kuibishia hii nukta ila nakoswa angle.
nabisha.Chai ni juisi.
huwezi kulinganisha mnyama na kandambili.YANGA NI BORA💪 THAN SIMBA.
Mzee upo makini sana. Umeteguauongo sio June 24 ni may 24.
Magu hapendi wafuasi waongowaongo