Andika chochote, nikubishie au ubishiwe na kupingwa

Andika chochote, nikubishie au ubishiwe na kupingwa

mi nna hela wewe hata ukoo wako haukuti yani njoooni ukoo mzima uone ka mtaniweza...
 
Wewe sio taahira,una akili nyingi,una pesa nyingi
nabisha.
kwa mujibu wa takwimu kila watanzania wanne kuna taaira mmoja au wawili.
kwa sababu zijaenda kupima hata wewe naakika hujapima kichwa ninaweza kuwa na kakiwango ka uchizi.

Pia kuna kipindi katika mzunguko wa dunia mvutano wa dunia husababisha watu kuwa machizi kwa kiwango flani. hivyo mimi na wewe na dunia nzima huwa tunakuwa machizi. hatuna akili nyingi,
 
nakubishia,
''neno wewe'' maana yake You. Yaani BOB OS.
hivyo BOB OS ni shoga.
hapo huitaji magazijuto kubishana.
wewe ndio ulioanzisha uzi,,,bisha sasa kwamba wewe sio shoga.......
na wewe haliwezi kuwa jina la mtu.....wewe is not equal to Bob os ....
 
Duu una PhD ya kupindua matokea
😀😀😀😀😱
nabisha mkuu.
Mimi nina PHD ya kupangilia matokeo na kung'amua vilivyojificha kama kwa mkuu ''shoga'' hapo juu.
 
matunduizi sio shoga.......
umebadilisha neno wewe.
nakubishia.
''wewe sio shoga..'' ndio lilikuwa swali lako.


ila nakubishia tena. Matunduizi ni '' maneno au maandishi'', maandishi hayawezi kuwa shoga.
 
Back
Top Bottom