Andika chochote, nikubishie au ubishiwe na kupingwa

Watoto aliokuzalia mke wako wote ni damu yako hakuna mwanaume mwingine aliyekusaidia kwa kumla tunda mke wako
 
Matunduizi kile chakula cha mama ntilie kilikuwa na kemikali gani mpaka kikakufanya uanzishe huu uzi? Kalale kama umevuta bangi usirudie na kama ni gongo badili muuzaji.
 
sio Kweli.
hata vidonge vina kapombe kidogo ukisema hivyo unatangaza vifo vya wagonjwa wote mahospitalini.
na unahatarisha usalama wa kazi za madaktari.

acha hizo mzee.
hicho kidonge unapiga kwa maelekezo maalum pombe unajipimia tu
 
pombe ni nini?
Pombe ni alcoholic content katika hicho kinywaji na kidonge.
Nakubishia pia pomne za viwandani na mitaani hujipimii wanakupimia wanaokutengenezea na kuweka kiwango.
 
hospitali unapewa dozi mtaani unajipa dozi
 
Matunduizi kile chakula cha mama ntilie kilikuwa na kemikali gani mpaka kikakufanya uanzishe huu uzi? Kalale kama umevuta bangi usirudie na kama ni gongo badili muuzaji.
hahahahahhaaaa
nimeambiwa kimepikiwa maji ya maiti.
wenda yanaongeza ujasiri wa kubishana hata kubishia ujinga.
 
Watoto aliokuzalia mke wako wote ni damu yako hakuna mwanaume mwingine aliyekusaidia kwa kumla tunda mke wako
nabisha.
watoto wako sio damu yako.
ndio maana wanaweza kuwa na damu grupu O wewe A.

hiyo ni lugha ya uongo.
 
Back
Top Bottom