Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
wewe siyo shogaKaribu, andika kitu chochote ili tupingane
Prof Matunduizi
pinga sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe siyo shogaKaribu, andika kitu chochote ili tupingane
Prof Matunduizi
Jana mbona haujanywa pombe?Karibu, andika kitu chochote ili tupingane
Prof Matunduizi
kweli mkuu complicator.wewe siyo shoga
pinga sasa
Hapana uyo ni punga tunamjuamatunduizi sio shoga....................
hahahaJana mbona haujanywa pombe?
napinga. huyo sio Punga.Hapana uyo ni punga tunamjua
uongo sio June 24 ni may 24.Hapo imefika June 24 tayari wako ivi. Ikifika tar 30 tutaona wengi. Magu awaonee huruma hawa tunaweza kushuhudia wengi na mengine mengi.
aisee.Sikuwa mimi ulikuwa mkono wa Baunsa.......
😁 😁 😁 😁Mshahara utoke tu kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa anapindua matokeo , nilitaka nimbishie ila nimeogopa kupinduliwa matokeo au kugeuziwa kibaoJamaa mbishi huyu
jina la mtu haliwezi ,kuwa maneno au maandishi....umebadilisha neno wewe.
nakubishia.
''wewe sio shoga..'' ndio lilikuwa swali lako.
ila nakubishia tena. Matunduizi ni '' maneno au maandishi'', maandishi hayawezi kuwa shoga.
😁 😁 😁[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa anapindua matokeo , nilitaka nimbishie ila nimeogopa kupinduliwa matokeo au kugeuziwa kibao
Kwahiyo unataka nikupindue kwa mbele au kutokea nyuma[emoji16] [emoji16] [emoji16]
mkuu hakuna mbishi muoga.
huna utayari wa kurudisha matokeo yaliyopinduliwa kama FC Liverpool.
mtu atageuzaje matokeo yako alafu hujitetei.
humu hamna wabishi, sibishani tena
Jina la mtu sio Mtu.jina la mtu haliwezi ,kuwa maneno au maandishi....
Matunduizi ni "nomino",jina la mtu, kwa hiyo matunduizi ni shoga....
Gari, meza, treni ndio huwa zinapinduka.Kwahiyo unataka nikupindue kwa mbele au kutokea nyuma