Andika group lako la damu uone linamatch na group la Member gani?

Andika group lako la damu uone linamatch na group la Member gani?

O+

Character of People according to Blood Group. Roughly 38% of the world is O +ve and 6% O -ve. Confident and Strong-Willed, Proud, Dedicated, Sociable, Energetic, Extroverted, Frank, Realist, Showy, Flighty, Generalist, Positive, Independent, Risk-Takers, Dislike taking orders, Insecure, Stubborn & Self-Centered.
 
Wabongo bana yani kuna watu humu pak magrup ya damu watadanganya (AB+, O+)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wenye A+ gonga like basi
 
Its a myth
Hawa Keria huwa ni watu wenye Damu group O kwanza hawaugui hovyo kabisa ni wagumu kupata maambukizi ya magonjwa, ukimkuta mwenye HIV anaweza akawaambukiza wengine lakini yeye anadunda tu utafikiri haumwi na asiyekuwa nao anaweza akatembea na mwenye HIV na asiambukizwe.
 
Back
Top Bottom