mwanga lutila, hili swali limekuwa likijitokeza mara kwa mara humu ndani na nimekuwa nikilitolea majibu...najibu kwa mara ya mwisho:
Ni ndege, siyo nyuni...
masahihisho:
Siyo ndege ni nyuni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanga lutila, hili swali limekuwa likijitokeza mara kwa mara humu ndani na nimekuwa nikilitolea majibu...najibu kwa mara ya mwisho:
Ni ndege, siyo nyuni...
siyo ndege ni mnyama arukaye
sio ndege ya abiria ni ndege mnyama
Ivi ndege ni mnyama?!
mwanga lutila, hili swali limekuwa likijitokeza mara kwa mara humu ndani na nimekuwa nikilitolea majibu...najibu kwa mara ya mwisho:
NI NDEGE, SIYO NYUNI...
Nimecheka sana na majibu ya waswahili wasiopenda kiswahili na wasio tayari kujifunza. Kwa kweli ni changamoto sana kuona mtu anakuwa mwepesi sana kutafuta kujua lugha ya kigeni ilhali yake inamsumbua.
Jibu sahihi ni "siyo ndege ni nyuni"
. yahooNyuni ni nini mmeniacha hpo
Asante kwa udadavuzi
Kwa hiyo nikisema ndege wanakula mtama nakua nimekosea
Kwa hiyo nikisema ndege wanakula mtama nakua nimekosea
It's not an Aeroplane, it's a Bird..
View attachment 230452
Siyo Chopa bali ni Ndege
Kiufupi kuswahili kina ufinyu wa misamiati
ile si ndege, yule ni ndege