Andika haya maneno kwa Kiswahili

Siyokweli. Nyuni ni ndege. Na plane ni ndege, isipokuwa plane huwa inaitwa ndege ulaya. Labda ungesema jibu sahihi siyo ndege ulaya ni ndege nyuni. au ukaishia hiyo nyuni lakini ya plane lazima usiishie ndege tu.. Iliitwa ndege kwa sababu iikuwa inaruka kama nndege nyuni wa angani. Tofauti yake ni kwamba hii man made, ilifahamika ni ya ulaya kwa hiyo ikaitwa ni ndege ulaya. Uliza bakita.


Nimecheka sana na majibu ya waswahili wasiopenda kiswahili na wasio tayari kujifunza. Kwa kweli ni changamoto sana kuona mtu anakuwa mwepesi sana kutafuta kujua lugha ya kigeni ilhali yake inamsumbua.
Jibu sahihi ni "siyo ndege ni nyuni"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…