Andika jambo lolote linalokutia hofu

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Kupitia uzi huu unakaribishwa kuandika chochote kinachokutia hofu. Na wale ambao wamewahi kukumbana na hiyo hali wakatoka salama wanaweza kukusaidia kuikabili.

LET'S TALK PHOBIAS !!!
What are you afraid of ??? Someone is ready to extend his/her hand for help.

My biggest fear is not been able to give my children the best of life they deserve in this Blessed Tanzania of ours.
 
Nina Phobia ya Gari lolote, naogopa kupanda gari toka niko mdogo ilizidi kua kubwa zaidi baada ya kunusurika kuvunjika miguu kwa ajali ya kugongana 10/3/2016 Uyui Tabora
 
Naona kuona watu wanavyolazimisha kuwa wazalendo kwa nchi. Wakati uzalendo unaweza kuonekana hata Bila kujitangaza.
 
Hofu yangu nipate ajali alafu nivunjikevunjike badala nife kabisa au nisiumie popote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…