Andika jambo lolote linalokutia hofu

Andika jambo lolote linalokutia hofu

Hivi tukifa eti tunaenda kuishi maisha mengine dunia nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwili wako mama Sabrina utaoza na kubaki mifupa tuu wadudu watajizolea wowowo lako wawezavyo maana asili ya mwili ni mavumbi.. ila roho yako itaenda ilikotoka maana yenyewe asili yake si mavumbi.. Itaenda kwa Mungu kupewa tuzo points kama iliishi kadri atakvyo muumba kama iliishi kinyume itapewa tuzo pia ya kuteketezwa kwenye mateso. .

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Jamani tupeane hata maneno ya kujifariji jamani

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
Basi hiki kitu kinatisha jamani,,mi naoma tunavyoishi duniani na haya haya maisha yetu ya kuunga unga naona raha kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
daaaah acha tu ...sometimes uoga unakuwa ni how u wil die.... usingizini....kwa mateso....kwa kuumwa ghafla....

na je unaondokaje?

je kila kitu utaacha shwari?

je kifo chako hakitakuwa mwanzo wa mateso for your loved ones?

hapa ndio uoga unapoanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom