Hahahaa.. Wazee wa kuweka mzigohofu yangu huanza pale tu nnapo place bet πππ
ππππhofu yangu huanza pale tu nnapo place bet πππ
Baba la baba!Hofu yangu ni kumkosa huyu babymama, maana nishawekeza akili, mwili na roho.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaogopa Tanganyika Jeki ?
Siku zote nilikuwa najua hii Id Ya Female member.Hofu yangu ni kumkosa huyu babymama, maana nishawekeza akili, mwili na roho.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Yeah hii kitu hata mimi naiogopa sana .... ni bora nipate ajali nife kuliko kupata ajali ambayo itaondoka na baadhi ya viungo vyangu. " halafu ikaniacha hai nikiendelea kuishi kwa matesoHofu yangu nipate ajali alafu nivunjikevunjike badala nife kabisa au nisiumie popote!
Jamani bebe poleeNina Phobia ya Gari lolote, naogopa kupanda gari toka niko mdogo ilizidi kua kubwa zaidi baada ya kunusurika kuvunjika miguu kwa ajali ya kugongana 10/3/2016 Uyui Tabora
Jirani kumbe bebe yupo humu humu
Ahsante babe wacha tu ajali isikie kwa jilani yako.. the moment mtu uliyekua umekaa nae unamuona kafa ghafla