corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,664
- 3,389
kajisahau mkuu ha ha haSiku zote nilikuwa najua hii Id Ya Female member.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kajisahau mkuu ha ha haSiku zote nilikuwa najua hii Id Ya Female member.
[/QUOTE][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vampaya Diary
Shule itakusumbua sana mkuu.Naogopa Exams Aisee...
Huko mbelen kuna vitamu zaidi
Kwa hiyo yeye ni female au male ?
Tafuta pesewa ya kutosha ili kuondoa hiyo hofu.
ndo napambana mkuuTafuta pesewa ya kutosha ili kuondoa hiyo hofu.
Ipende shule nayo itakupendaSupplimentary,Carry&Discontinue
Usiogope kufa kwani kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi, hivyo utarudi ulipotokaHofu yangu ni kifo
Pale nimeshaingizwa kaburini na kufukiwa na kuachwa peke yangu tu
Mungu wangu naomba unipe mwisho ulio mwema [emoji120][emoji120]
Miss you[emoji24] [emoji24] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
I miss you too beibMiss you[emoji24] [emoji24] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mmhhh
Si ndo ungekuja ukaniambia nikakuweka kwenye maombi bebe...
Haya anza kuniweka sasa hivi madam sijafaSi ndo ungekuja ukaniambia nikakuweka kwenye maombi bebe...