Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

#NiTanzaniaPekee Laini za simu (Idadi ya Laini za simu na watumiaji wa mtandao) ni wengi kuliko idadi ya watanzania kwa ujumla
 
#NiTanzaniaPekee mtu anathamini sana kula mizizi ili kuimarisha nguvu za kiume kuliko wakati ulaya mtu anakula mizizi na diet mbalimbali akizingatia kuna faida zipi katka ubongo wake na Afya ya akili yake
Duuuuuuuuuu
1468774138583.jpg
 
#Ni Tanzania pekee watu wanalala na mawani usiku hili waone ndoto vizuri
 
Ni Tanzania pekee ndio Tanzania na hakuna Tanzania nyingine.
 
Ni Tanzania pekee ambapo washenzi kadhaa wanaotumia mitandao ya kijamii mfano JF waNAJIONA WANA UCHUNGU SANA NA NCHI KULIKO RAIS WA NCHI HUSIKA.
 
#NitanzaniaPekee Wakondakta wa Daladala wanauziwa Chenchi! ( 700 kwa 1000 )
 
Ni tanzania pekee ukileta fyokofyoko unang'olewa kucha[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ni Tanzania pekee ukoloni wa mwafarika kwa mwafarika mwenzeka unaitwa Muungano wa kuigwa.
 
Ni Tanzania pekee watu hawana kazi ni kuchat tu
 
Ni Tanzania pekee "vipi" inakua "vepe"
 
Nitanzania pekee mtu anasema I Love You then anasubiria jibu kana kwamba kauliza swali?
 
Back
Top Bottom