InnovatorTz
Member
- Jul 1, 2016
- 23
- 23
- Thread starter
-
- #21
Duuuuuuuuuu#NiTanzaniaPekee mtu anathamini sana kula mizizi ili kuimarisha nguvu za kiume kuliko wakati ulaya mtu anakula mizizi na diet mbalimbali akizingatia kuna faida zipi katka ubongo wake na Afya ya akili yake
Hahahaaaa! Daah! Mdenmark umeamua kuwachokoza naona 😀😀#Ni Tanzania pekee watu wanalala na mawani usiku hili waone ndoto vizuri