Andika Jina la mtu yoyote maarufu ambaye hujui historia yake, wanaomjua wakwambie ni wapi alipo na anafanya nini

Andika Jina la mtu yoyote maarufu ambaye hujui historia yake, wanaomjua wakwambie ni wapi alipo na anafanya nini

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Mada inajieleza,
Kuna watu waliwahi kukonga mioyo ya watu na baadae historia zao na zikapotea bila kujua ni wapi walipo mimi naanza na hawa jamaa.

1. PIERE LIQUID, mlevi maalufu aliejipatia umaarufu kupitia unywaji wake na sauti ya yake ya "mama nakufa"

2. FUTURE JNL, msanii wa mwanza kijana machachali aliekuwa anavuma kwa nyimbo na sauti nzuri huku akitengeneza machupa (video kali kuliko hata mastar) saiz hata instagram yake hana post yoyote na hayupo active mda mrefu.

3. HERI MUZIKI, Kijana aliyekuwa na sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni, aliemteka mwanadada maarufu Diva the bowse kipind hiko akiwa cloud fm. Saizi insta nae hapost chochote.

4. AMBARUTY, Huyu malkia wa porn tanzania mama wa buza kwa mpalax.

Kwa yeyote anaejua hawa walipo atujulishe pia kama na wewe unae mtu hujui alipo weka hapa.
 
Msanii Sajina,
Kuna Mtangazaji anaitwa Sebastian (Seba),
Msanii Ismail, pamoja na Zembwela wa zamani akiwa East Africa Radio, acha wa sasa yule chawa wa Wasafi fm. Nataka kujua hawa watu wako wapi!
 
Hahahha sasa Silent Ocean si kampuni ya logistics vinywaji na ulevi hamna.
Biashara ya fenicha sijui.
Yupo keko machungwa pale ni fundi fenicha ukienda unamkuta anauza fenicha ndio professional yake kuchonga na kuuza fenicha za majumbani,hio ya salaa udaku tu
 
Back
Top Bottom