Andika Jina la mtu yoyote maarufu ambaye hujui historia yake, wanaomjua wakwambie ni wapi alipo na anafanya nini

Andika Jina la mtu yoyote maarufu ambaye hujui historia yake, wanaomjua wakwambie ni wapi alipo na anafanya nini

Bishanga Bashaija
Hivi yuko wapi huyu mtu na msanii mwenzie alitumia jina la Waridi.
 
Heti Muziki ni chalii angu wa mtaa tu huku Sakina Arusha, yuko kitaa anaonekana siku mbili tatu sema itakuwa wazazi wamemkomalia apige kitabu so yuko busy na masomo ya chuo
 
1. Gwamaka Kihaula (King Crazy GK)
2. Snare
3. Taji Liundi
4. Top C
5. Mb Dogg
6. Benjamin wa mambo jambo
7. Makamua
8. Nas B (Mzee wa Ng'ombe wa Masikini hazai)
9. D Knob
10. Nakaaya Sumari
11. Squezer
12. Sauda Mwilima
13. Pasha...
14.....
14....
 
Mtangazaji Glory Robinson a.ka Mtoto wa mama sabuni, alikuwa R.F.A. Sijui yupo wapi sasa hivi.
 
Back
Top Bottom