Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Safi sana, fursa hiyo...[emoji23][emoji23]Yupo Karuakoo anauza chai kwenye mgahawa kawa Mama lishe,
Kuna wanao sema ni Mwalimu..Karudi kwao anauza duka la spear za magari, shy town ukifika ana mtaa kabisa baba styles
Umepigaje hapo?Dj Miso Misondo
noorah a.k.a baba starz alisha dead.Kuna msanii anaitwa Mirror, Dayna nyange, noorah, Kuna mchezaji anaizwa Dan mrwanda
Sijawaskia mda mrefu hawa