Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 #1 Nikawaida kwenye comments ukiona jina utalisoma na kulitamka kimyakimya(kimoyomoyo). Usibishe huwa unafanya hivyo. Sasa kwenye utamkaji najua tunatamka tofauti-tofauti. Taja jina la mwa JF na unavyolitamka kimya kimya pindi usomapo jina lake uone tunavyotofautiana katika utamkaji. nitaanza. BAK = Baek bbade =bibade Karucee =karusee
Nikawaida kwenye comments ukiona jina utalisoma na kulitamka kimyakimya(kimoyomoyo). Usibishe huwa unafanya hivyo. Sasa kwenye utamkaji najua tunatamka tofauti-tofauti. Taja jina la mwa JF na unavyolitamka kimya kimya pindi usomapo jina lake uone tunavyotofautiana katika utamkaji. nitaanza. BAK = Baek bbade =bibade Karucee =karusee
M MuuzaStudyMaterials JF-Expert Member Joined Aug 15, 2018 Posts 408 Reaction score 454 Sep 5, 2018 #2 mkuu kwan una umri wa miaka mingapi
Zuriel_cfc JF-Expert Member Joined Nov 2, 2017 Posts 4,092 Reaction score 9,063 Sep 5, 2018 #3 First to comment [emoji4]
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #4 jje's = Jeies. hili na leo limenishinda
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #5 mRick said: mkuu kwan una umri wa miaka mingapi Click to expand... mRick = M-riki.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Sep 5, 2018 #6 Naunga mkono hoja....[emoji64] [emoji64] [emoji86] [emoji86]
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #7 mRick said: mkuu kwan una umri wa miaka mingapi Click to expand... Nilizaliwa kipindi cha ukame mkuu.
mRick said: mkuu kwan una umri wa miaka mingapi Click to expand... Nilizaliwa kipindi cha ukame mkuu.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #8 beingsingle said: First to comment [emoji4] Click to expand... Hujawa wa kwanza hata...lako rahisi Bein'gi singo.
beingsingle said: First to comment [emoji4] Click to expand... Hujawa wa kwanza hata...lako rahisi Bein'gi singo.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #9 Ushimen said: Naunga mkono hoja....[emoji64] [emoji64] [emoji86] [emoji86] Click to expand... lako rahisi Ushimeni.
Ushimen said: Naunga mkono hoja....[emoji64] [emoji64] [emoji86] [emoji86] Click to expand... lako rahisi Ushimeni.
squirtinator JF-Expert Member Joined Sep 20, 2015 Posts 2,765 Reaction score 4,182 Sep 5, 2018 #10 Swali la kijinga alafu kuna watu wanatiririka kulijibu. Bonge la uzi.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Sep 5, 2018 #11 cariha karia
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #12 RRONDO = rirondo.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #13 squirtinator said: Swali la kijinga alafu kuna watu wanatiririka kulijibu. Bonge la uzi. Click to expand... oouh.
squirtinator said: Swali la kijinga alafu kuna watu wanatiririka kulijibu. Bonge la uzi. Click to expand... oouh.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Sep 5, 2018 #14 Thad Tadi
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #15 KingY said: Thad Tadi Click to expand... huyu wa natamka Tadi. naongeza i mwishoni.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Sep 5, 2018 #16 Daby said: lako rahisi Ushimeni. Click to expand... Nili liandika kwa kiswahili fasaha kabisa.... Maana majina ya lugha ya bepari yanaweza nifanya nikachanika msamba
Daby said: lako rahisi Ushimeni. Click to expand... Nili liandika kwa kiswahili fasaha kabisa.... Maana majina ya lugha ya bepari yanaweza nifanya nikachanika msamba
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Sep 5, 2018 #17 Hata hivyo Daby umechuja mwanangu
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Sep 5, 2018 #18 Daby said: RRONDO = rirondo. Click to expand... hahaahha ri rondo???!!!
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #19 KingY said: Hata hivyo Daby umechuja mwanangu Click to expand... Nimechuja kwenye nini mwana?
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Sep 5, 2018 Thread starter #20 Ushimen said: Nili liandika kwa kiswahili fasaha kabisa.... Maana majina ya lugha ya bepari yanaweza nifanya nikachanika msamba Click to expand... Amigo wewe un'gen'ge si unapanda kabisa hili tatizo linatoka wapi? espy mimi natamka esipii...
Ushimen said: Nili liandika kwa kiswahili fasaha kabisa.... Maana majina ya lugha ya bepari yanaweza nifanya nikachanika msamba Click to expand... Amigo wewe un'gen'ge si unapanda kabisa hili tatizo linatoka wapi? espy mimi natamka esipii...