rondowewe unalitamkaje mkuu?
Sio karusee ni karuchiiNikawaida kwenye comments ukiona jina utalisoma na kulitamka kimyakimya(kimoyomoyo).
Usibishe huwa unafanya hivyo. Sasa kwenye utamkaji najua tunatamka tofauti-tofauti.
Taja jina la mwa JF na unavyolitamka kimya kimya pindi usomapo jina lake uone tunavyotofautiana katika utamkaji.
nitaanza.
BAK = Baek
bbade =bibade
Karucee =karusee
[emoji16][emoji16][emoji16] Sawa DabiHujawa wa kwanza hata...lako rahisi
Bein'gi singo.
potezea tu, hayo mdangaji yapiteehahaha.... alikuwa anaongelea mvuto wa nini mkuu? nimekuwa mrwmbo tena niwe na mvuto?
Huyu Esipiyi
Mwana sasa hv anatembea kwa kurudi nyumaHata hivyo
Daby umechuja mwanangu
tena anaburuza miguu kwa shiida[emoji23]Mwana sasa hv anatembea kwa kurudi nyuma