Andika jinsi unavyolitamka kimoyomoyo jina la member wa JF.

Andika jinsi unavyolitamka kimoyomoyo jina la member wa JF.

Nikawaida kwenye comments ukiona jina utalisoma na kulitamka kimyakimya(kimoyomoyo).

Usibishe huwa unafanya hivyo. Sasa kwenye utamkaji najua tunatamka tofauti-tofauti.

Taja jina la mwa JF na unavyolitamka kimya kimya pindi usomapo jina lake uone tunavyotofautiana katika utamkaji.

nitaanza.

BAK = Baek

bbade =bibade

Karucee =karusee
Sio karusee ni karuchii
 
Back
Top Bottom