James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Akdukulikuwa unanitukana kiwapi babe?
sikuiz unatamkaje??
endelea tu hivyo hivyo maana nikikutajia utameza ulimi bureAkduk
Hahahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilizaliwa kipindi cha ukame mkuu.
Mimimkulima akacheka sana.Beef Lasagna -BIFU LAZANYA
Hahaha Mimi najua karuchiiOh Daabi. Ndo natamkaga.
Tena so sweetly you should just know.
Langu pronounciation ni Karusii.ππ
Nimekumiss Mdogo wangu.First to comment [emoji4]
hahh eti ukatikhaaah... unanicheka eeh ukati
hili halina heka heka ukhty simple
Wee jamaa mi kimawazo nakuitaga squirtingSwali la kijinga alafu kuna watu wanatiririka kulijibu.
Bonge la uzi.
Hahahaaaa. Kabisaaaaa.hili halina heka heka ukhty simple
hahh kuna mmoja utamsikia eti ukutiHahahaaaa. Kabisaaaaa.
Kama langu. [emoji85][emoji85][emoji85]
Hahaaaa. Ukuti wa nini sasa. Jina la pendeza likitamkwa kwa vizuri bana πππππ lol.hahh kuna mmoja utamsikia eti ukuti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mdogo wako halafu huyoHahaaaa. Ukuti wa nini sasa. Jina la pendeze likitamkwa kwa vizuri bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol.
Hebu mwambie aje nimfundishe kulitamka. [emoji3][emoji3][emoji3]
Yabidi umwambie Dada yake nimejitolea kumfundisha namna ya kulitamka hilo neno.[emoji23] [emoji23] [emoji23] mdogo wako halafu huyo
ngoja nikamtoe huko alikoYabidi umwambie Dada yake nimejitolea kumfundisha namna ya kulitamka hilo neno.
Maana Ukuti ukuti [emoji3][emoji3][emoji3] haiji kabisaaa.