Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Hapana Bif Lazanya😉Hahaha Mimi najua karuchii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Bif Lazanya😉Hahaha Mimi najua karuchii
Swali zuri sana[emoji1]mkuu kwan una umri wa miaka mingapi
Hahahahha
Unaweza kujikuta una paniki pasina sababu... wakati na wewe comment yako inaongeza kuwa bonge la uziSwali la kijinga alafu kuna watu wanatiririka kulijibu.
Bonge la uzi.
Umemficha wapi huyu mrembo mzee wa chura?Khantwe-Kanitwe![emoji6] [emoji6] [emoji6]
Skwiritinetasquirtinator = skwiritinato
Hi kirchofuAisee umewaza mbali Sana dabii
Nakupenda agiyijeyiHi kirchofu
Nimekugundua kuwa matamshi yanakushinda kabisa mkuu.Nikawaida kwenye comments ukiona jina utalisoma na kulitamka kimyakimya(kimoyomoyo).
Usibishe huwa unafanya hivyo. Sasa kwenye utamkaji najua tunatamka tofauti-tofauti.
Taja jina la mwa JF na unavyolitamka kimya kimya pindi usomapo jina lake uone tunavyotofautiana katika utamkaji.
nitaanza.
BAK = Baek
bbade =bibade
Karucee =karusee
nakupenda zaidi kirchofuuNakupenda agiyijeyi
TKingiwayi na Dabi mnaniharibia jina litamkeni kama lilivyoandikwa[emoji53][emoji53][emoji53]
Bifu lasangaBeef Lasagna -BIFU LAZANYA
Daby = DabiNikawaida kwenye comments ukiona jina utalisoma na kulitamka kimyakimya(kimoyomoyo).
Usibishe huwa unafanya hivyo. Sasa kwenye utamkaji najua tunatamka tofauti-tofauti.
Taja jina la mwa JF na unavyolitamka kimya kimya pindi usomapo jina lake uone tunavyotofautiana katika utamkaji.
nitaanza.
BAK = Baek
bbade =bibade
Karucee =karusee