Andika jinsi unavyolitamka kimoyomoyo jina la member wa JF.

Andika jinsi unavyolitamka kimoyomoyo jina la member wa JF.

Oh Daabi. Ndo natamkaga.

Tena so sweetly you should just know.

Langu pronounciation ni Karusii.😉😉
haha... kumbe karusii....

basi wacha nianze kujizoesha
 
Back
Top Bottom