Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Atakuwa kabadili ID ila najitahidi kusoma comments za member fulani humu ili niunganishe taarifaNamtafuta pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa kabadili ID ila najitahidi kusoma comments za member fulani humu ili niunganishe taarifaNamtafuta pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hvyo hvyo tuu!!Teh teh, rayna au jeniveroz!!
Basi we kaka miye nilikua nakuita PRONDO ujue!!!hyo ya kwanza nilikua naiona km PLLoyd=Loid
RRondo=Rondo
naomba uniambie maana yake shemuBifu lasanya 😉
Muhispania atasoma bifu Lasanya sababu wao wana "nya" pekee kwenye "gna" ndio sababu señorita inatamkwa senyorita.Bifu lasanya 😉
hahaaNani kawapa ruhusa ya kupendana kwenye uzi wangu?
Unatamka jina langu vibayateh...
eeenh ulitaka kuninunia nini?
Yaani kutamka 'tadi' ndio ki-romantic? Huoni mwenzio KingY anavyolitamkia puani 'T' hiyo ndo ki-romantic😉najaribu kulitamka ki-romantic wewe unasema vibaya? kweli
Kila Jambo Lina sababu yake.Nani kawapa ruhusa ya kupendana kwenye uzi wangu?
Kuna mtu analitamka ispai.
Hahahaaa!! Wewe hapo.nani?