Andika kwa swahili: 12000 na 10002

Umeniangusha bi kifimbo cheza

Hiyo "coma" ina maana kubwa kwenye maandiko kwa mwenye kuelewa, pata darsa dogo;

Soma:

Mswahili akipata m atako hulia mbwata.

Mswahili, akipata m atako hulia mbwata.

Mswahili akipata, m atako hulia mbwata.

Mswahili akipata m atako, hulia mbwata.

Mswahili akipata m atako hulia, mbwata.

Sasa rudi kule ulikosema nimekuangusha, ukajisomee tena.
 

usilete mbwe mbwe za bakita ...eti wanatoa jina la computer kwa kiswahili kitu ambacho kwenye mazingira yetu hakikuwahi kuwapo.
 
12,000 = kumi na mbili elfu
10,002 = elfu kumi na mbili
 
usilete mbwe mbwe za bakita ...eti wanatoa jina la computer kwa kiswahili kitu ambacho kwenye mazingira yetu hakikuwahi kuwapo.

Kwa sababu hawataki kukubali kuwa Kiswahili kimetokana na Kiarabu kwa asilimia kubwa kuliko lugha nyingine yeyote ile.

Freezer Kiswahili linaitwaje?

Fridge Kiswahili linaitwaje?
 
walisoma shule za kata vs English medium wamejipambanua kwa majibu yao
 
Mbona iko kwa kiswahili tayari. Au ngoja nirudie ili nikusaidie.

12000
10002
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…