Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,053
- 2,207
barabara!12000- elfu kumi na mbili
10002- kumi elfu na mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
barabara!12000- elfu kumi na mbili
10002- kumi elfu na mbili
Umeniangusha bi kifimbo cheza
Shiiida kweli kwa uelewa wako kapatia hapo?barabara!
Right answer,bravo12000 - kumi na mbili elfu
10002 - kumi elfu na mbili
Nakubaliana na wewe
Naona vilaza mnakubaliana:
12,000- elfu kumi na mbili
10,002-elfu kumi na shilingi mbili
Shiiida kweli kwa uelewa wako kapatia hapo?
Hiyo "coma" ina maana kubwa kwenye maandiko kwa mwenye kuelewa, pata darsa dogo;
Soma:
Mswahili akipata m atako hulia mbwata.
Mswahili, akipata m atako hulia mbwata.
Mswahili akipata, m atako hulia mbwata.
Mswahili akipata m atako, hulia mbwata.
Mswahili akipata m atako hulia, mbwata.
Sasa rudi kule ulikosema nimekuangusha, ukajisomee tena.
Tumeshindwa pahali. Thanks in advance comrades.
usilete mbwe mbwe za bakita ...eti wanatoa jina la computer kwa kiswahili kitu ambacho kwenye mazingira yetu hakikuwahi kuwapo.
Mmmmmhhhhh...12,000 = Elfu kumi na mbili.
10,002 = Elfu kumi, na mbili.