Andika misemo mipya ya mtaani

Mchizi wangu
Kibamia
Mjeda
Kingunge
Mshua
Fidodido
Full mzuka
Ukiona jela pazuri, mpeleke mkeo
Ukitaka kujua vichochoro, sahau nauli
Kama unawapenda wavaa uniform, mshinee mkeo
 
usawa wa msukuma-hali ngumu
Usawa wa mjomba magu-hali ngumu na sio ya kuisha hivi karibuni
 
shamba la bibi =makaburi ya wailes tmk kwa wakaz wa temeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…