Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Boss asee.

Ungechezesha hata bahati nasibu ya dawa za nguvu za kiume.

Vigezo ungeweka kimojawapo kufahamu mtaa anapokaa na jina lake kamili.

Hivyo labda ungewapata japo watatu wanne
 
uniambie ww ss chief akija aweSuprized, nikimuuliza will spoil the excitement she may have [emoji38]
wanaume kusaidiana bwana.
Mkuu ladha niliyonayo mimi ni tofauti na uliyonayo wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni bora hilo jukumu ulibebe mwenyewe
 
Mkuu ladha niliyonayo mimi ni tofauti na uliyonayo wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni bora hilo jukumu ulibebe mwenyewe
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
basi ngoja tu nitajua cha kumuandalia, kumuuliza ni kosa kubwa sana labda ingekuwa anakuja kama mara ya pili.
 
Back
Top Bottom