Andika sentensi hii kwa kiingereza

Andika sentensi hii kwa kiingereza

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Naomba tusaidiane tuandika sentensi "Tatu Mzuka" kwa lugha ya kiingereza.

Karibuni.
 
Hahaahaa....

Wakuu mko serious !?
 
moderator rekebisha kichwa cha habari, tatu mzuka sio sentensi ni kirai, vinginevyo inaweza pia kuitwa tungo (jina la jumla)
 
Back
Top Bottom