Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm hapana kojoaKichwa cha mada kimeeleweka kazi kwako
Imejitahidi na ufafanuzi wako.... Lakini bado Hujajibu swaliWw ndo umechemka maana hatujui ni ipi tuandike neno "idont know?
Au
"Kichwa cha maada kimeeleweka kazi kwako"
Na ndio maana hata umeshindwa kutofautisha instruction inakaa wapi na kichwa cha habari kinakaa wapi as well as Swali linakaa wapi,