SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
huu ugomvi
huu ugomvi
Ugomvi gani?
Jibu:Mashabiki wa Simba wana Wake!
jibu. mashabiki wa timu ya simba wana wake..1.Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Kama hivi?
"mashabiki wa timu ya yanga wana wake"!
"mashabiki wa timu ya simba wana wake"!
btw, hivi kuwa mwanamke ni laana?We usiseme hivyo usije sababisha ugomvi humu. Mimi simo kabisa.
Andika Sentensi Ifuatayo Katika Wingi.
btw, hivi kuwa mwanamke ni laana?