Andika sentensi ifuatayo katika wingi

Andika sentensi ifuatayo katika wingi

Kama hivi?
"mashabiki wa timu ya yanga wana wake"!
"mashabiki wa timu ya simba wana wake"!
 
Kama hivi?
"mashabiki wa timu ya yanga wana wake"!
"mashabiki wa timu ya simba wana wake"!

We usiseme hivyo usije sababisha ugomvi humu. Mimi simo kabisa.
 
Andika Sentensi Ifuatayo Katika Wingi.

Haujasema kwa wingi kiasi gani, ila ngoja niiandike kwa wingi kadri niwezavyo:

Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke
Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke.
Shabiki wa timu ya simba ana mke
 
Back
Top Bottom