Andika tungo fikirishi kwa kuanzia maneno...watu wasiojulikana

Mwabhleja

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,351
Reaction score
2,061
Kwanza natuma salamu kwa watu wasiojulikana waliopo TUKI, CHAWAKAMA, BAKITA na BASATA.
Kwa kifupi niseme tu...kiswahili kitukuzwe.

Twende kwenye mada, thread hii ni maalumu kwetu sote naanza na TUNGO Tatu fikirishi:

1.Watu wasiojulikana ni member wa JF
2.Wastaafu wasiojulikana wanawashwa, isipokuwa wastaafu wa mahakama tu.
3.Watu wasiojulikana walimpigia kura Juma Pundamilia Maharage.

#Watu_Wasiojulikana....

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
Watu wasiojulikana wapo Nairobi wakimuuguza tundu lissu kukwepa ushahidi usiojulikana dhidi ya kusudi lao lisilojulikana
 
Watu wasiojulikana hawapendi kwenda kanisani,na hili kuwarudisha huko imemubidi Mchungaji wa Mtandaoni Online Pastor awazukie mtandaoni ili kuwapata na kuwarudisha kundini!
 
Watu wasiojulikana wakiongozwa na bashit walivamia mawingu tv na kufanya tukio linalojulikana
 
Watu wasiojulikana ninawaogopa,wameshika mpini.Watu wasiojulikana ni manyapara wa hii 'nanihii' yetu iliyokuwa kisiwa cha amani not so long time ago.
 
Watu wasiojulikana ninawaogopa,wameshika mpini.Watu wasiojulikana ni manyapara wa hii 'nanihii' yetu iliyokuwa kisiwa cha amani not so long time ago.
Kwahiyo watu wasiojulikana wanawatawala watu wasiojulikana?

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
Watu wasiojulikana hupewa kazi ya usalama wa taifa.
Kumbe ndiyo maana watu wasiojulikana waliiba kura za Lowassa kwenye uchaguzi mkuu 2015

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
watu wasiojulikana wamejazana serikalini
 
watu wasiojulikana jf hawafanyiwi interview ng'o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…