Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

Mkuu
Naomba nifundishe kiinglishi
 
Miaka yangu ni siri yangu ila siwezi

1. kuvaa mtumba

2. kula jojo sijui pipi

3. kufanya mapenzi na mwanamke mwenye fizi nyekundu

4.kuangalia basketball

5.kusikiliza taarabu

6.kusoma elimu ya iliyo chini ya TCU

7.kupiga denda kahaba

8.kuuza kitu nilichonunua kisa shida

9.kuchanganya pombe kali

10. kutoka kimapenzi na shemej yangu yaani demu wa msela wangu never ever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…