Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

First am not an idiot.
Second, my opinion is not an enforcement for to to anything rather than a "precaution".
Life is full of experiences and i have come that long as kijana na nimeona mambo ambayo mtu wakat mwingine unalazimika kuyafanya bila kupenda katika harakat za maisha.
Kama hujaelewa then ask first before critisizing.
Mkuu
Naomba nifundishe kiinglishi
 
Miaka yangu ni siri yangu ila siwezi

1. kuvaa mtumba

2. kula jojo sijui pipi

3. kufanya mapenzi na mwanamke mwenye fizi nyekundu

4.kuangalia basketball

5.kusikiliza taarabu

6.kusoma elimu ya iliyo chini ya TCU

7.kupiga denda kahaba

8.kuuza kitu nilichonunua kisa shida

9.kuchanganya pombe kali

10. kutoka kimapenzi na shemej yangu yaani demu wa msela wangu never ever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom