Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
- Thread starter
-
- #461
Na hii corona ukijichanganya unakufa kwa mengiUlikula E.coli mzee baba..demu huyo unakuta hajui kujiosha wakati akiwa toilet..always wanatakiwa wafanye front-back,front-back
Sent using Jamii Forums mobile app
Odama acha uogaI'm 52, and I am afraid to make a promise sababu kitu nikisema 'Never' ndo km kinanifanyia kusudi kinanigeukia!!😂😂
Much knower wa kichaggerHow on earth can you ask another human being umri wake?
Kitu gani hasa utafanyia?
I will never ask anybody's age!
Labda mtu anieleze sababu ni nini hasa kama sio sababu za unafiki!
Huwezi kufanya nini
Mtoto wa baba hakuna wa kukuchapaHahahahahaha Mnazareth Taja tu kaka unajua niliogopa kutaja maana utanichapa ee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaanza kulegeza misimamo
Kwa nini niongope? Kwa sasa nina 27, nimetimiza December ya last year.uongo ni dhambi
Hapana kiukweli! Nina wakati mgumu wa kudhidhibiti hisiya. Hakuna mwaka uliyonipeleka kasi kihisiya kama mwaka uliyopita, kiapo nilichokiweka sikujua gharama yake lakini nina imani nitashinda. Nina imani vilevile hili ndilo swali ulilo na hitaji ya jawabu lake.
SijaelewaHapana kiukweli! Nina wakati mgumu wa kudhidhibiti hisiya. Hakuna mwaka uliyonipeleka kasi kihisiya kama mwaka uliyopita, kiapo nilichokiweka sikujua gharama yake lakini nina imani nitashinda. Nina imani vilevile hili ndilo swali ulilo na hitaji ya jawabu lake.
Hapana! Bado sijaoa.
Kwahiyo umefanikiwa kutimiza adhma yako ya kutozini?Hapana! Bado sijaoa.
Yap Saint Anne
Ni suala la maamuzi na nidhamu.