Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

How on earth can you ask another human being umri wake?

Kitu gani hasa utafanyia?

I will never ask anybody's age!

Labda mtu anieleze sababu ni nini hasa kama sio sababu za unafiki!
Much knower wa kichagger
 
Siwezi andika umri wangu inawezekana Coronavirus anachungulia huu uzi aisee
 
Umefanikisha hii dhamira yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kiukweli! Nina wakati mgumu wa kudhidhibiti hisiya. Hakuna mwaka uliyonipeleka kasi kihisiya kama mwaka uliyopita, kiapo nilichokiweka sikujua gharama yake lakini nina imani nitashinda. Nina imani vilevile hili ndilo swali ulilo na hitaji ya jawabu lake.
 
Sijaelewa
Naomba unijibu "ndiyo" au "hapana"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom