Mandingo_judo
Member
- Apr 10, 2018
- 12
- 17
5years🤭🤭🤭 siwezi kupita hapa bila kusoma coment hata kama sina bandle ntasoma za previous day[emoji848][emoji848]🤭[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha Mnazareth Taja tu kaka unajua niliogopa kutaja maana utanichapa ee
Naona wa kwako tuuache tutautaja siku nyingineHahahahahaha Mnazareth Taja tu kaka unajua niliogopa kutaja maana utanichapa ee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ina maana umeusahau??nishakupa kibali na mamlaka ukiutaja wewe ni sawa na mimi tu
Hahaha ina maana umeusahau??nishakupa kibali na mamlaka ukiutaja wewe ni sawa na mimi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu rudi tena kwa baba akutajie tarehe na mwaka sahihi [emoji23][emoji23]Hahahahahaha kaka taja tu mwenyewe maana baba aliniambia tarehe yako ya kizaliwa ila ilikuwa zaman nikiwa mdogo sana sasa nimesahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Zikija mada za kuzaa wamo, kulea watoto wamo, kuchepuka wamoKila mwenye ID ya kike humu atasema yeye ni under 23,halafu wana wajukuu
Sent by Diaspora
Hebu rudi tena kwa baba akutajie tarehe na mwaka sahihi [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maliza Chuo ndo utaona kuwa waume walioowa ndo wazuri kukufanikisha ndoto zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani maisha ni vile wewe unapangaToo young to make such a committment
Nadhani ni nyuma ya hii page. . ... .ni madhanio tu..[emoji848][emoji848][emoji848]Mtoa mada naona watu wote wapo under 25. Freedom fighters tunakomenti wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoa mada naona watu wote wapo under 25. Freedom fighters tunakomenti wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
We ringa tu ila kadri umri utavyokuwa unasogea uombe upate mwanaume mwaminifu na atakayekupenda
Dah wee unanifaa sana.26-siwezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ex wangu,.