jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
We ringa tu ila kadri umri utavyokuwa unasogea uombe upate mwanaume mwaminifu na atakayekupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli utakuja kusema kitu lov???huu uzi una pages 8 ngoja kwanza nisome zote halafu naja kusema kitu love
eeh bana yani haya madini unayotemaga humu yamekuzidi umri ni tofauti kabisa na umri wakoKweli utakuja kusema kitu lov???
Hahahah ulijua ajuza flan hivi eeeπ π πeeh bana yani haya madini unayotemaga humu yamekuzidi umri ni tofauti kabisa na umri wako
Hahahah ulijua ajuza flan hivi eee
Njoo pm uniume sikio mtoto wa baba yetu
Unatumiwa na mabeberu
Fanya check up ya ubongo wakoHow on earth can you ask another human being umri wake?
Kitu gani hasa utafanyia?
I will never ask anybody's age!
Labda mtu anieleze sababu ni nini hasa kama sio sababu za unafiki!
Jinsia gan huyo?Duuh...
Kwa hio leo hakuna above 30 ?
Naskia yule madame ni mwanaume mkuu,Mliniakimbia nyie waoga