Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
- Thread starter
- #261
Sawa mkuu
Heshima yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu
Bas nakuja kwa wazee wako
Nipe location bas
Bas nakuja kwa wazee wako
tuone namna ya kubebana kabla giza alijaingia
[emoji23][emoji23]Nipe location bas
Daktari aliniambia nina damu ya kunguni sipati magonjwa kirahisi hivyo.Utakufa kwa ngoma
utamjuaje? kijana kaja hana dalili za kuona au una detactor za waume za watu?
Ndio tufanye hivyo aiseeh. Kabla hali haijawa tete kwetu sote.
Kwenye after life hakuna hayo mambo
Daktari wa Loliondo au ?Daktari aliniambia nina damu ya kunguni sipati magonjwa kirahisi hivyo.
Ana sensorutamjuaje? kijana kaja hana dalili za kuona au una detactor za waume za watu?
Hapana siyo huyo msanii,ni Babu yangu Dkt Adesholamolasatidopuati Ajose Mpakajiturewafumpa pale Mbabane Swaziland toka nina umri wa miwili mpaka mwaka huu natimiza 87 alinibadilisha damu na kuniweka ya kunguni hata shoti ya umeme ainizingui.Daktari wa Loliondo au ?
Safari njemaHapana siyo huyo msanii,ni Babu yangu Dkt Adesholamolasatidopuati Ajose Mpakajiturewafumpa pale Mbabane Swaziland toka nina umri wa miwili mpaka mwaka huu natimiza 87 alinibadilisha damu na kuniweka ya kunguni hata shoti ya umeme ainizingui.
Far from the usual. G.P.A yangu ni 2.8 tu
Tunapima kwa kuangalia uwezo wa mtu katika kupambanua na kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo kwenye mazingira yake.Sasa kumbe GPA yako mimi nakuzunguka mara 2 toa 1.2!
Halafu wa kupimwa akili ni mimi au wewe mzee baba?
Tuachane na hizo intelligences ambazo hata stupid persons kama akina Lipumba anaweza pata....
Twende kwenye intellect,unadhani tupimaneje ili tujue nani ni zaidi ya nani ?
Tunapima kwa kuangalia uwezo wa mtu katika kupambanua na kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo kwenye mazingira yake.
Mpimaji ni mpimaji hahahahhaNa mpimaji ni wewe?
Bwahahahaaaaa
Unalipwa kiasi gani ?
[emoji3][emoji3]we umefuata?Fata maelekezo ya uzi
Mstaafu wa whatsap labdaDuh kweli wewe bado mtoto. Hicho tuachie sisi wastaafu