Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kweli jaman salaam zao zinachosha sanahaaaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli jaman salaam zao zinachosha sanahaaaaaaaaaaaa
Bora we umewajuaa sie tukisema shidaYaani, alafu hzo za kujisifu ni mambo za wanawake lkn wanaume wa humu wanajisifu bila aibu, ovyo kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana aiseeMsikute na makabila nayo yanachangia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora we umewajuaa sie tukisema shida
Ni kweli kama wahaya tuwazoee tu jamaniMsikute na makabila nayo yanachangia
Soon nadharauliwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MmmmhSakayo. Hili Jina Linanipa Raha Nikilitamka
We muhenga mwenzangu haina shida.PM yako haina makuu? Manake tukiwasalimia mnatunanga sana.
Bora hata umetumiwa, mi kuna jitu humu linasingizia eti limenitumia mzigo from abroad ukapitia kwa mdada flani huyo mdada akaufungua Kwahiyo nimekasirika tena linasimulia kwa uchungu, yani jf kuna mianaume miongo jamani!!!!!!!ahahah sasa wewe ule msemo wa kusema wanwake wa jf wanajiuza utatamalaki hapa !
dec mwaka jana kuna mshikaj aliniambia mbiti nenda abood kapokee mzigo wako kuna bahasha mle !OMG OMG OMG !SIMJUI HANIJUI !nakushukur mama kunizaa mwanamke !woyooooo!sifowadr shoga !
watu tunajipulizia marashi ya watu na hadhi zao !mxiewww live long jf
Tunavutiwa na mahendisamuNiweke iliokaa vipi sasa
Asubuhi pm mamboTena wakawatumie ndugu zao waliopo vijijini
In ray kigosi's voiceAsubuhi pm mambo
Mchana pm mambo
Jioni pm mambo
Kesho pm mambo
Aaaagggrr pumbavuuuuu
Ha ha ha ha ha hadi nmecheka kama mazuriIn ray kigosi's voice
Ni kweli kama wahaya tuwazoee tu jamani
Kweli mjue inabidi tuwazoe kuna makabila ni shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana aisee
Hivi dada kumbe unataka kutumiwa ticket ya fast jet[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji188]
Alafu we mshikaji [emoji23] [emoji23] ngoja nikuache[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unatumia Nguvu nyingi sana kuaminika .mnajiuzaaa tu nyie na nitaweka hapa maovu yenu na screen shots !dadek
AhahhahaSoon nadharauliwaa
Ahahhaha jina linampa rahaMmmmh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bora hata umetumiwa, mi kuna jitu humu linasingizia eti limenitumia mzigo from abroad ukapitia kwa mdada flani huyo mdada akaufungua Kwahiyo nimekasirika tena linasimulia kwa uchungu, yani jf kuna mianaume miongo jamani!!!!!!!
Yani hili jitu adhabu yake ningekua me ningelipaka mafuta maneeenah