Ujinga ni ujinga , moja ya ujinga nipale unapomuita mtu mtoto alafu huyo huyo mtoto hamna asichokijua kwako.izo ni akili au matope ? Au ndo kujaribu kuvisha "Ubora" ???.
Nambaya zaidi unakua Mwogaaa[emoji23][emoji23][emoji23]... Mie ngoja niwaache.... Ila muwe mnaangalia na watu wakuzungumzia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawakumbusheni kitu** Regardless of your Gender ,regardless of ur Age ,to me ,, you are going to reap what you sow **.
Ujinga wenu nipale baadhi yenu mnavodhani sasa kwakua mu'wanawake , then mkiongea shits so itanibidi nitulie kisa I am a Man !!! NEVER EVER !!!
Leo nipo busy kiasi ...Ila kesho nitaamkia hapa hapa !!.