Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Asante kaka akee ebu fanya kunitumiaHebu acha hizo Shunie hebu chukua bulungutu ukajirushe kwa raha zako.😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kaka akee ebu fanya kunitumiaHebu acha hizo Shunie hebu chukua bulungutu ukajirushe kwa raha zako.😡
Hahaha
Hata bila viatu sipandiiii
Asante kaka akee ebu Tanya kunitumia
Mchuchumio ulinishinda zamani eeeh.... Ni mwendo wa simple tuuShurti kwa viatu eh! Bila ya shaka vitakuwa ni mchuchumio 🙂🙂
Typing error ni fanya jamanTanya ndiyo nini? Una hatari weye dadaake.
Mchuchumio ulinishinda zamani eeeh.... Ni mwendo wa simple tuu
Ntaanguka bhanaMhhh! Haya banaaa ila ukipanda na mchuchumio hupendeza zaidi 😛😛😛
Khaaaa churaa hivi mbona huyu huniletei screenshot zake sasa chura anaulizia anataka kunifanya ninii Ekyoma ebu njoo
Mbona kuna yule jamaa kaweka likatuni libaya halafu madem mnavyomshobokea sasa kutokana na story zake za uongo tuu[emoji51]Hizo hizo feki tunapenda zikiwa na mvuto
Ntaanguka bhana
Mm nakupenda sema upo dodoma.Mm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
Sababu wewe umesema, ntavaaa ila sipandi raha leoHuwezi anguka bana ukishapanda hata kama mchuchumio huupendi.
Sababu wewe umesema, ntavaaa ila sipandi raha leo