Hii kesho nitaijibu vyema,,ngoja nigonge glasi ili nilale vyemaKuna wawili , niliwatumia PM... Mpaka Leo niwaoga sana ,, wakinisema wanaogopaga hata kunitaja jina.l[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana nimewambia tatizo niwaoga !!.
Ila serious ,,Sasa Mima kanipa Ruhusa ,, Kuna wanawake wawili ,, Nataka niwatmie km mfano ,,nataka niwatumie km mfano ili Watu waamini ambacho huwa nakizungumza ...the reset watafuata mdogo mdogo.
Ulale unono !!.Hii kesho nitaijibu vyema,,ngoja nigonge glasi ili nilale vyema
kwanini MKUU?Sipendi kuitwa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanini MKUU?
Haaaa achana nao hao ,,Kinachoniudhi humu ni kupenda kufatiliana Fulani yukoje na anaishije??
Pm kutumika km majungu na vijiwe vya kusengenyana mpaka jukwaani great thinker km tuitwavyo huko nje unakuta masengenyo tuu, what a rubbish
Sijambo kabisa V, msalimie mimaHaaaa achana nao hao ,,
Hujambo Kapeace ?.
sisi ambao hatujao na hatuna familia tunaruhusiwa kuja pm eehMm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
Hahahaaaa.
Nawaona nawaona wale wazee wa kuwala Dada Wa kazi mnavyofurahi baada ya madogo kurudi shule maana ulibaniwa mwezi mzima[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nawaona wale ambao walikuwa wanashindwa kuvusha kisa madogo wapo, mmefurahi leo kwamba utaanza kuvusha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Weee hata isikupe shida ... Najua kudeal nao hawa !!!...
Subiri ukiwa online ,nambie nikutumie shots za mshenzi mmoja humu ili umwone choooo !!!...naendelea kusoma ....
Bahat nzuri Mimi sijawahi kushindwa kitu.
Jf siku hizi kuna mataahira mengi
Ujinga ni ujinga , moja ya ujinga nipale unapomuita mtu mtoto alafu huyo huyo mtoto hamna asichokijua kwako.izo ni akili au matope ? Au ndo kujaribu kuvisha "Ubora" ???.
Nambaya zaidi unakua Mwogaaa[emoji23][emoji23][emoji23]... Mie ngoja niwaache.... Ila muwe mnaangalia na watu wakuzungumzia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawakumbusheni kitu** Regardless of your Gender ,regardless of ur Age ,to me ,, you are going to reap what you sow **.
Ujinga wenu nipale baadhi yenu mnavodhani sasa kwakua mu'wanawake , then mkiongea shits so itanibidi nitulie kisa I am a Man !!! NEVER EVER !!!
Leo nipo busy kiasi ...Ila kesho nitaamkia hapa hapa !!.
Mi nishakudharauu