Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena ndo Ukome kabisaa ,sipendi na ninachukia ...kwan km napenda siningekua nmeshasema ,, humu ndani kila mtu anaelimu yake ,na hamna mahali mtu ameshaweka shobo shobo ajulikane ....Sasa jiongelee weweee MIMI SIPENDI NA UKOME.hivi kwan kuongelea elimu yako ni dhambi gan !nakushangaaga ujue !alfu masuala ya kuntisha na namba unajua unanichekesha sn mie ! ohh kuna fala mmoja alikuja pm ohh mbiti inasemekana wewe jf kuna watu wana namba yako nusu nzima !hahaha huu ujinga !hebu pekenyua nyuzi zangu bas ndo uje uropokwe hapa !mxiew
my first thread niliweka namba zangu kwa biashara ya matunda ya strawberry hapa ! huenda ulikua bado sekondari lol !kila siku kunitisha na hyo namba !hv wew mzima kweli?? karibu kila siku napigiwa simu na watu wa jf wanahitaj strawberry sijawah wauliza umepata wapi namba coz nilizitoa mwenyewe hahaha nataman nikutukane kama mange !ila nakuacha !hahahahahaha
sitakujibu tena !
Nakupata nakupata fundi mkuu wangu, mpe salamu fundi mkuu mwenziofundiiiii nakaa kimya !fundi wetu
tuitie DabyHiv shida ni nini hasa mpaka mnachimbana mikwala kiasi hiki kwanini mmoja asijifanye mjinga tu yakaisha kwani utapungukiwa nini
Poa keep it down !!.ahhhaa haya boss umeshinda !ni kweli nilipoolewa masiha yakawa mteremko kiaa !maana had leo wazaz ni mm kuwababe la sivyo wafwaaa na njaa ! HONGERA
Khaaa hii tabia ya kudharau imeshika kasiiiYani we Acha hapa Nipo Kazini nachat kwa Uchokozi ngoja Ifike Muda ya Kumi Nitaanza Kuwadharau Wote Humu Ndani. naanza Na wewe[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
PEACEPoa keep it down !!.
We jikalie tu kimya basiMIE MJINGA!
Khaaa hii tabia ya kudharau imeshika kasiii
Hapa Itabidi Mmoja Amzarau Mwngne. Kumbe Hadi Namba Walipeana. Nimeshamzarau Mmoja[emoji28]
Haha atakuja tutuitie Daby
Kabla hatujakudharau
We jikalie tu kimya basi
Acha uchochezi Dina.......Unamtakaa eee kwani uongooo
Mapipa tupu ukiligonga pipa tupu linalia puuuuuu ,,nyie hakuna kituHaaa wewe naye nakudharau kuanzia sasa hv
Nakupata nakupata fundi mkuu wangu, mpe salamu fundi mkuu mwenzio
Nawazoom tu hapa msemo wa nanliu[emoji1] [emoji1]Mbona hiyo namba kama yangu putin
Mapipa tupu ukiligonga pipa tupu linalia puuuuuu ,,nyie hakuna kitu
Hata mkinidharau hamnifikii hata roboo
Eti yameisha mi nishaudhika hapaa,,putin kweli yameishaa??bado we hajamufanyia kaziHapa Itabidi Mmoja Amzarau Mwngne. Kumbe Hadi Namba Walipeana. Nimeshamzarau Mmoja[emoji28]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]ningekaa kimya niingeleeweka !kwan kuwa na namba yangu ni dhambi mxiewewwwwwwwwww