Za niniUna namba za mods?[emoji3][emoji3][emoji3]
Sijapenda kuweka wazi mkuu, maana hamto chelewa kutuchukia kama wale wengine...Daahh! Mkuu Ulishaga Ainisha Hilo iLi Tuelewe faiza ndio Maza Hausi?
Naunga mkono hojaSipendi kuchokozwa
Sipendi tabia ya kuchukiana
Hahahaaaa.Duuh Ka Uzi kamekaa kichochez mkuu
Amesema viwili mkuuSeriously......Sipendi hasara.
Seriously......Sipendi uwongo.
Seriously.......Sipendi
kumuasi Mwenyezimungu
Hicho tu jamani swahiba. Duuh.Sipendi kupendwa na wadada wa jf
Huyo money penny hhhaaaaa1. Attention whoring.
In any way and form. Kujisifia unatongozwa sana au unafanya mapenzi kwa wingi, kulalamikia kuumizwa wakati pindi mnapigana mashine hatukufahamu, kuna mjinga alikuwa na mtindo wa kuquote comments kibao alafu anaweka links za threads zake tukasome...
Upumbavu kama huo wa kutaka umaarufu hapa jukwaani.
Nani kakupenda?Sipendi kupendwa na wadada wa jf
Ndio mtu wa kwanza mimi kumgonga ignore hapa JF in years. Maana nilimchana asifanye hivyo kwangu hakuelewa.Huyo money penny hhhaaaaa
Mimi nakupendaNani kakupenda?
Hhhhaa alikuudhi kukuwekea link zake za story?Ndio mtu wa kwanza mimi kumgonga ignore hapa JF in years. Maana nilimchana asifanye hivyo kwangu hakuelewa.
Unavyotukana hata aibu kukujibuMimi nakupenda
Mno. Mno yani. Hivi kapigwa ban ama? Simuoni jukwaani hizi siku mbili tatu. Sikutaka kumchongea kwa mods lakini nilitamani wamgundue wamwondoe.Hhhhaa alikuudhi kukuwekea link zake za story?