Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Yupo na anaweka link kama kawaida hajauona tu huu uziMno. Mno yani. Hivi kapigwa ban ama? Simuoni jukwaani hizi siku mbili tatu. Sikutaka kumchongea kwa mods lakini nilitamani wamgundue wamwondoe.