Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kweli jana bando ilikata...dah siku yangu ilikuwa mbaya sana fundiUnapotea mno na wewe fundi mkuu, au ndo una hasira za kukaa lupango kwahiyo unalipa zile siku hukuwepo kwa kaka mkubwa ! [emoji3] [emoji3] [emoji3] good morning fundi mkuu