Andika usichokipenda humu JamiiForums

Unapotea mno na wewe fundi mkuu, au ndo una hasira za kukaa lupango kwahiyo unalipa zile siku hukuwepo kwa kaka mkubwa ! [emoji3] [emoji3] [emoji3] good morning fundi mkuu
Kweli jana bando ilikata...dah siku yangu ilikuwa mbaya sana fundi
 
Binafsi siwapendi watu wanaokua wakwanza kuchangia Uzi wowote ule, lakini uchangiaji wao unakua kama hivi,,Ngoja waje, subiri wanakuja,,,.Kiukweli hua nachukia sana na hawa watu.
 
Una utani na @joseevarist ?
 
Binafsi siwapendi watu wanaokua wakwanza kuchangia Uzi wowote ule, lakini uchangiaji wao unakua kama hivi,,Ngoja waje, subiri wanakuja,,,.Kiukweli hua nachukia sana na hawa watu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeua
 
Binafsi siwapendi watu wanaokua wakwanza kuchangia Uzi wowote ule, lakini uchangiaji wao unakua kama hivi,,Ngoja waje, subiri wanakuja,,,.Kiukweli hua nachukia sana na hawa watu.
Umegusa mulemuleeee
 
Kweli jana bando ilikata...dah siku yangu ilikuwa mbaya sana fundi
Mkuu njoo Nikuunge bando kwa 3000tu wiki Nzima 4GB. Nichek pm km hela ipo. Na yeyote Anahitaji Aje Pm .... Njoo Na Namba Ya Voda Tu. Unanilipa Nakuunga
 
Kumbe Umeolewa alafu Unadanga Kwa Putini. Hahaha hahaha Lazima Akuzqrau[emoji28] [emoji28]
hebu kamuulize kama nimedanga mie !pls tuheshimiane ! na ni nan alianza kuja kwa mwenzake pm !narudia tena na tena huyo mtu alikua rafiki angu ambaye hata nikiumwa ananiambia tafuta dawa hii na hii !mxiewwwwwwwwwww unawajua wadangaji wewe au unawasikia !mxiewwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…